win-one
JF-Expert Member
- May 28, 2024
- 8,967
- 30,596
kumbe mimi ndo nilikua mshindi toka April?Mtihkani....?
nilimaanisha mtihani na wew aaah
kumbe mimi ndo nilikua mshindi toka April?Mtihkani....?
aaah ulikuwa mahindi upewe pongezikumbe mimi ndo nilikua mshindi toka April?
nilimaanisha mtihani na wew aaah
kuwa mahindi ndo maana yake niniaaah ulikuwa mahindi upewe pongezi
nini mshindi wetu nlikosea kuandika kidogokuwa mahindi ndo maana yake nini
? ni alama ya kuuliza, unayemuuliza kakosea spelling.Mtihkani....?
Spelling huw Kuna mda tunakosea? ni alama ya kuuliza, unayemuuliza kakosea spelling.
Tunakosea ila cha muhimu ujumbe umeelewekaSpelling huw Kuna mda tunakosea
umeeleweka hauhitaji maelezo zaidiTunakosea ila cha muhimu ujumbe umeeleweka
kidog kidogo mpka tumekaribia mwishonini mshindi wetu nlikosea kuandika kidogo
Mwisho wa siku mi ndo naibuka mshindikidog kidogo mpka tumekaribia mwisho
Mshindi hajitangazi bali hutangazwa.Mwisho wa siku mi ndo naibuka mshindi
hutangazwa pale ambapo wapinzani watakua wameisha woteMshindi hajitangazi bali hutangazwa.
#Hallelujah
Wote mtajaribu ila hamtanishinda mimihutangawaza pale ambapo wapinzani watakua wameisha wote
mimi pia najitahidi niwe kwenye hicho kinyang'anyiroWote mtajaribu ila hamtanishinda mimi
Kinyang'anyiro kimeanza kuwa na ushindanimimi pia najitahidi niwe kwenye hicho kinyang'anyiro
ushindani mkubwa mno, kila mtu anaonesha ujuzi 😜😅Kinyang'anyiro kimeanza kuwa na ushindani
Ujuzi wa wengi ila mshindi ni mmojaushindani mkubwa mno, kila mtu anaonesha ujuzi 😜😅
Mmoja wapo lazima atangazwe kuwa mshindi leo.Ujuzi wa wengi ila mshindi ni mmoja
Leo hakuna kulala mpaka mshindi apatikaneMmoja wapo lazima atangazwe kuwa mshindi leo.
#Hallelujah
Apatikane wapi n watu hawalali umuLeo hakuna kulala mpaka mshindi apatikane