Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 26,670
- 50,985
Haushil? Utaisha napomuoa Mrs nonetoxic9 siyo mshindi uzi hauishi.
Haushil? Utaisha napomuoa Mrs nonetoxic9 siyo mshindi uzi hauishi.
Mrs none anakupenda sanaHaushil? Utaisha napomuoa Mrs none
Mrs none amekuja nawaacha sasa mfunge uziHaushil? Utaisha napomuoa Mrs none
Sana tu natambua hilo baby wangu mimi kuwa unanipenda nami nakupenda sana moyo wasisimuka nikikuona,sote tutaishi mpaka mwisho wa duniaMrs none anakupenda sana
Dunia ina mandhari tofautiSana tu natambua hilo baby wangu mimi kuwa unanipenda nami nakupenda sana moyo wasisimuka nikikuona,sote tutaishi mpaka mwisho wa dunia
Tofauti zetu tutazimilza wenyew baby sio walimwengu babyDunia ina mandhari tofauti
Bby ntakuwa nna scream usku mzima ukinipapasa😘Tofauti zetu tutazimilza wenyew baby sio walimwengu baby
kwako niombee dua nimpe raha Mrs noneMrs none anaoenaka kukupenda pia mkuu kazi kwako
Mrs none kaandika soma comment ya juu yako mdugu yangukwako niombee dua nimpe raha Mrs none
Yangu ni kutimiza ndoto yake mrs none itabidi abadili jina sasa iwe mrs iceberg9 officialMrs none kaandika soma comment ya juu yako mdugu yangu
Offical sasa mnakuwa couple mpyaYangu ni kutimiza ndoto yake mrs none itabidi abadili jina sasa iwe mrs iceberg9 official
Mpya mimi sina baya mkuu,ila mkuu unafaa sana kuwa mpambe unajua sana kulipamba jambo😄😄😄Offical sasa mnakuwa couple mpya
Jambo zuri ni watu wakiwa na furaha 😃😃Mpya mimi sina baya mkuu,ila mkuu unafaa sana kuwa mpambe unajua sana kulipamba jambo😄😄😄
Furaha yako ikadumu milele mkuuJambo zuri ni watu wakiwa na furaha 😃😃
Mkuu wewe pia jambo lako litimieFuraha yako ikadumu milele mkuu
Litimie kwa kweli ila mrs none mtundu sana mpaka nimvalishe pete kwanza ndiyo nitajua jambo ni languMkuu wewe pia jambo lako litimie
Langu kivipi wakati hapa ni online, walionae kitaa ni waoLitimie kwa kweli ila mrs none mtundu sana mpaka nimvalishe pete kwanza ndiyo nitajua jambo ni langu
Wao ni wao mimi napambana na kitu changu Mrs none kashakua wangu bahati ya mtendeLangu kivipi wakati hapa ni online, walionae kitaa ni wao