mbotoro kivoi
JF-Expert Member
- Sep 11, 2017
- 1,699
- 2,355
Hivyo alivokeosea ku typeGani hasa lililokusukuma kusema hivyo?
Hivyo alivokeosea ku typeGani hasa lililokusukuma kusema hivyo?
Sawa ila mie ndio mshindi toka kitamboSawa
Kitambo uwezi kuwa mshindi bila kuzingatia vigezoSawa ila mie ndio mshindi toka kitambo
Nyuma wana mwiko ukichomolewa itakuwaje 😂Vigezo ninavyo fatilia post zangu za miaka ya nyuma
😂 itakuwaje ukiota ndoto unakojoa halafu ukaamka na kukuta godoro limelowaNyuma wana mwiko ukichomolewa itakuwaje 😂
Limelowa kwa sababu Binti sayuni anapenda katerero😂 itakuwaje ukiota ndoto unakojoa halafu ukaamka na kukuta godoro limelowa
Mkuu nakusaluti
Katerero ndo mpango mzima, unarusha mimaji kama bomba na akili inakukaa sawa hauwi kama huyo mtu aliyekomenti hapo juu bila kuzingatia masharti ya huu mchezo.Limelowa kwa sababu Binti sayuni anapenda katerero
mchezo huu hauitaji hasira ni utulivuKaterero ndo mpango mzima, unarusha mimaji kama bomba na akili inakukaa sawa hauwi kama huyo mtu aliyekomenti hapo juu bila kuzingatia masharti ya huu mchezo.
Utulivu wa akili na hisia ni silaha madhubuti ya ushindimchezo huu hauitaji hasira ni utulivu
Ushindi wa arsenal Jana umenipa rahaUtulivu wa akili na hisia ni silaha madhubuti ya ushindi
Raja kuwa wa mwisho na wa mwisho ndiyo mshindi, ni Mimi Musab.Ushindi
Ushindi wa arsenal Jana umenipa raha
Musab usijidanganye, mshindi nitakua mimiRaja kuwa wa mwisho na wa mwisho ndiyo Mahindra, ni Mimi Musab.
Mimi na wewe tunapendana sanaaMusab usijidanganye, mshindi nitakua mimi
sanaa kabisa, yani wewe unaweza kuwa mume wangu mtarajiwa.Mimi na wewe tunapendana sanaa
Mtarajiwa wako ni Mimi hakika, Mungu ana njia za ajabu kukutanisha watu wake, hakika Nina kupenda si utanisanaa kabisa, yani wewe unaweza kuwa mume wangu mtarajiwa.
utani huo umeanza lini na wake za watuMtarajiwa wako ni Mimi hakika, Mungu ana njia za ajabu kukutanisha watu wake, hakika Nina kupenda si utani
Watu wenyewe ndo ndo sisi Sasautani huo umeanza lini na wake za watu