Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,716
Shaka ondoa hata mimi na mpenda Heaven on earth ila naskia ana maringo
Maringo ni moja ya hulka ya mwanamke
Shaka ondoa hata mimi na mpenda Heaven on earth ila naskia ana maringo
Maringo ni moja ya hulka ya mwanamke
Sura nayo ina umuhimu wakeMwanamke Mzuri ni tabia na sio sura
umuhimu wake kwangu sijaona.Sura nayo ina umuhimu wake
umuhimu wake kwangu sijaona.
Uongozi wa jf ujipange ulete kamati ya nidhamu watu wasipigwe ma-ban bila kuhojiwa!!Sijaona mchango wa magufuli ila nashangaa wa Tz wanataka wampe miaka 14 ya uongozi
kawa mwepesi kama pepsikuhojiwa kwani hapa ni polisi, mtu akizingua piga ban kama kawa
Kawa mpole baada ya kutemwa na Yanga mchezaji niyonzimakuhojiwa kwani hapa ni polisi, mtu akizingua piga ban kama kawa
Kilema yule anahitaji msaada wakomaringo ni kilema.
Wako wapi panya road siku hizi jamani...hawa jamaa walitisha!!!aii.Kilema yule anahitaji msaada wako
Wako wapi panya road siku hizi jamani...hawa jamaa walitisha!!!aii.
dhaifu maana yake ni kitu kisichokuwa na mashiko, kisichovutia, kisicho na sifa, kibovu, ambacho kimekosa unono..Walitisha sana hadi wakafanya tujue jinsi wanaume wa Dar walivyo dhaifu
dhaifu maana yake ni kitu kisichokuwa na mashiko, kisichovutia, kisicho na sifa, kibovu, ambacho kimekosa unono..
Suluhisho la nyeto ni kuoa.Mawazo Hayataisha Kama Hakuna Suluhisho.