mzima ni yule mwenye amani ya akili na mwili,lakini dunia ya sasa wenye akili ni wachache sana wengi ni machizi ila hawajijui,haiwezekani mtu mzima wa akili msomi kutengeneza silaha hatari kisha kwenda kuwaua binadamu wenzake kama kuku mataifa mengi ya magharibi yamejaa wendawazimu