danhosnoop
JF-Expert Member
- Oct 21, 2014
- 2,721
- 10,528
Madaraka yanawalevya sana watu, sio kazi ndogo kuwang'oaWanadamu tunauana kisa madaraka!
Madaraka yanawalevya sana watu, sio kazi ndogo kuwang'oaWanadamu tunauana kisa madaraka!
Madaraka yanawalevya sana watu, sio kazi ndogo kuwang'oa
Haki sawa kwa wote ni slogan ya chama cha wananchi cufKuwang'oa kucha watu sio haki..
Haki sawa kwa wote ni slogan ya chama cha wananchi cuf
Itapotezwa midomoni mwa wanafiki, lakini katika uhalisia cuf imeimarika zaidi ndani ya ukawaCuf imeinuka ndani ya ukawa..ingawa wanafiki walisema itapotezwa!
Vibaruani mwaka huu wataisoma namba
Ng'ombe wa maziwa wapo nawauza kwa bei poa sana .
Sana sana napenda supu ya kuku wa kienyeji.