Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Ccm imekimbiwa na viongozi muhimu,Lowassa,Masha, makongoro,kingunge na balozi mwapachu.
 
Vile unavyouliza maswali ya rhetoric, kwa kweli mimi sijui Mmanu
 
Tuu! Ungejibu swali lake kwanza sio kuleta yasiyokuwepo
 
Message delivered ila umeshindwa kujibu nilichouliza
 
Nilichouliza mimi juzi ni kwanini kama Lowassa anahusika na Richmond asifunguliwe mashtaka?
 
Yaweza kuwa mkombozi wako kama una moyo wa dhati kufanikiwa
Click hii link hapa chini
Job4Living.com Earn 5$-10$ per 30 seconds tasks, Earn 1000$ monthly - Online Job for jobless people
 
Back
Top Bottom