katib mkoa
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 1,574
- 2,163
magufuli ataongoza ukoo wenu na sio watz
lowwasa ndo rais wako sasa wewe subiri wakshtue na nyoso
Akili za kizee ndio zilizowaondoa CCM kingubge,lowasa,sumaye na mwapachu eti mabadiliko??! Baada ya kuona fisadi papa mwenzao kakatwa ndio wanajisogeza ili wajiwekee mazingira mazuri. Yaani kwa ufupi UKAWA mshafeli kabla ya mtihani
Hii ni sentensi au insha sio mahara pake