MZEE MAKOCHO
Member
- Mar 9, 2015
- 11
- 0
kututawala kifala ----
Kuandika ujinga nako kunapooza mchezo
Walanguzi..hili neno limefanya uzi utulie
Mambo yako poa kabisa mkuu, kazi za watu zinabana tu, natumai nawe ni mzima
Umbea kwa wabongo ni kitu cha kawaida
hujivua vingapi? wakati mwafrika alichelewa akakuta ngoma tu ndiyo imebakia kwenye mgawo baada ya uumbaji wa dunia kufanyika.kawaida ya mwafrika kujifanya vyote huvijua
kufanyika kwa uchaguzi mwaka huu ndo mwisho wa CCM
Serikali bila Mafufuli haiwezekaniUpo kijiweni tu toka kumekucha bila kazi halafu unaanza kuilaumu serikali