Haiwezekani kwa sababu ndivyo ulivyokaririshwa
Ulivyokaririshwa kusifanye upindishe ukweli wa mambo
UKAWA..... UKAWA... hawa ukawa wakishika dola mimi nahama tanzaniaUkombozi gani....kama ni ukombozi kwa taifa letu walioahidi hivyo ni UKAWA
UKAWA..... UKAWA... hawa ukawa wakishika dola mimi nahama tanzania
Tanzania hii ya wapumbavu na malofa?
Malofa waliopatikana kutokana na utawala wa kibabe wa Che Mkapa...
mkapa ameendeleza umaskn ulioachwa na mzee wa ruksa
Ruksa kutopigia kura mafisadi.
oyeeeeee isiyokuwa na ushindiUKAWA ni habari ya mjini.
Mawani oyeeee,Kofia oyeeee
Kuishiwa sera oyeeeee