007 De Souza
JF-Expert Member
- Feb 19, 2015
- 901
- 486
mepesi kwa lowasa lakini yakifika kwa mafunguo ni tatizo!
mepesi kwa lowasa lakini yakifika kwa mafunguo ni tatizo!
Tatizo ccm yenu hadi leo haijatoa posti za kozi afya.
Mgogoro kati makufuli na manywele utaisha oktoba.
Visasi viishie October 25, baada ya hapo tujenge nchi pamoja
pamoja tutaijenga nchi na lowasa.
Lowasa lazma akatwe maana ananyota ya mkasi.
Lowasa anamashabiki wengi. Ila anawapiga kura wachache. Ilo ndo jibu ok
Kisaikolojia, vijana wengi wanajiandaa kuajiliwa badala ya kujiajili