Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,716
Mwenzako ni yule unaelala nae kitanda kimoja
Kimoja ninachompendea ni mwaminifu
Mwenzako ni yule unaelala nae kitanda kimoja
Kimoja ninachompendea ni mwaminifu
Hizi siasa za Tz zinachosa jamaniMwaminifu ndiye anaetakiwa maisha haya maana maradhi mengi siku hizi
Hizi siasa za Tz zinachosa jamani
Shoka ni ile gongo ya kwanza kabisa kutoka kabla haijazimuliwa
kwako kuzimua huweziHaijazimuliwa ni lugha nimeisikia kwako
Kifurushi ni muhimu jamani , bila ya ni kama dunia imesimama. Salaamu za b5-click na Pepsin nazipokea kwa mikono miwili.
Miwili how wakati mkono mmoja umeshika simu. Ila ata hivyo mkuu umejiandikisha?
sana sana utaliwa pesa zako tu, mapenzi yalikuwa enzi hizo za adamu na hawa!!Nampenda yeye, ye ndo yeye, siwezi kwenda kwa mwingine... Huu wimbo unanikumbusha mbali sana.