Kujituma kwa bedi itakupa totoz
Support itahitajika ktk plan B kwanza onesha kujituma..
Support itahitajika ktk plan B kwanza onesha kujituma..
Totoz mwanangu iskuhadae wee chapa kazi tafuta mustakabali wa pesa...Kujituma kwa bedi itakupa totoz
Totoz mwanangu iskuhadae wee chapa kazi tafuta mustakabali wa pesa...
Shetani anakuhadaa Ndg Mpendwa mbona pesa/fedha zipo ktk matawi ya Benki..!!pesa zilivyo kuwa ngumu cku iz unaweza kuhic unatembea na shetani
Shetani anakuhadaa Ndg Mpendwa mbona pesa/fedha zipo ktk matawi ya Benki..!!
Kusevu bank ambapo hawaniamini hata kwa peni yao sihitajiBenki ndotunakotakiwa kuhifadhi pesa ila sipati ya kusevu
KuSevu pesa walao asilimia 30 ni mfumo mzuri kujijenga kimasilahi...Benki ndotunakotakiwa kuhifadhi pesa ila sipati ya kusevu
Sihitaji kujiunga ktk vijiwe vya uswazi....Kusevu bank ambapo hawaniamini hata kwa peni yao sihitaji
Uswazi kuna karaha nyingi kuliko rahaSihitaji kujiunga ktk vijiwe vya uswazi....
Raha ikizid karahaUswazi kuna karaha nyingi kuliko raha
Raha jipe mwenyewe ulimwengu una wasaa wa kutosha !!Uswazi kuna karaha nyingi kuliko raha
Kutosha hakupo kwa kifo hakina hodiRaha jipe mwenyewe ulimwengu una wasaa wa kutosha !!
20, 000 wanazogawa TASAF kwa kaya maskini ndio mpango mzima. Zinaweza kuondoa umaskini wa familia maskini kwa muda wa siku 30.Kawaida ndo mpango mzima.
Karaha hufuatiwa na vurugu Kati ya wapole na wenye kero...Raha ikizid karaha
K-lyn anauwezo wa kumreshea furaha na kumrefushia uhai.Mgonjwa akikosa tiba kutokana na mgomo wa madaktari hana uhai tena.
Uhai wetu upo kitanzini..!!K-lyn anauwezo wa kumreshea furaha na kumrefushia uhai.
kitanzi chenyewe balaa hakichagui mdogo wala mkubwaUhai wetu upo kitanzini..!!
Mkubwa tumheshimu na tumuenzi ..kitanzi chenyewe balaa hakichagui mdogo wala mkubwa
Tumuenzi kwa busara zakeMkubwa tumheshimu na tumuenzi ..
Zake tukichanganya na zetu tutaunda Umoja wa Kiafrika !!Tumuenzi kwa busara zake