bbc
JF-Expert Member
- Jan 18, 2016
- 3,836
- 4,152
Zake za ujana zimepitaTumuenzi kwa busara zake
Zake za ujana zimepitaTumuenzi kwa busara zake
Zimepita kuelekea wapi?Zake za ujana zimepita
Wapi ulikuwa Mwifwa?Zimepita kuelekea wapi?
Sana Sana tutahuzunika na kulialia bila kupatiwa ufumbuzi...Mwifwa msumbufu sana
Lolote na liwe nimechukuwa uamuzi ..Ufumbuzi wa jambo hili ni kutosema lolote
Shari iepushwe mbali na Amani itukuzwe..Uamuzi huu ni wa shari
Itukuzwe siku ipi ya kuzaliwa au ya kufa!Shari iepushwe mbali na Amani itukuzwe..
Kufa ni kujitakia mwenyewe ila kuzaliwa ni vitendo vya wawili tija yao ni wewe !!Itukuzwe siku ipi ya kuzaliwa au ya kufa!
Wewe, tena wawezakuta lengo lilikuwa starehe yao tu!Kufa ni kujitakia mwenyewe ila kuzaliwa ni vitendo vya wawili tija yao ni wewe !!
Tulia nikupe taarifa za uhakika...Wewe, tena wawezakuta lengo lilikuwa starehe yao tu!
Uhakika ni kwamba Mei mosi mishahara haikuongezwaTulia nikupe taarifa za uhakika...
Haikuongezwa hiyo kishahara kwa kuwa hatujui kudai kwa nguvu zetu zoteUhakika ni kwamba Mei mosi mishahara haikuongezwa
Haikuongezwa hiyo kishahara kwa kuwa hatujui kudai kwa nguvu zetu zote
Wapole ndiyo hulka yetu na Amani waTanzania ndiyo zetu sifa...Zote ni hekima baba wa taifa alizo tuachia tusifosi kuhusu kuongezewa mishahara tuwe wapole
Wapole ndiyo hulka yetu na Amani waTanzania ndiyo zetu sifa...
TZ Ina ongoza kwa kuwepo mlima KilimanjaroSifa twapenda wa tz
TZ Ina ongoza kwa kuwepo mlima Kilimanjaro
Khaaaah ? Kenya msianze nasema msianze !!!Kilimanjaro tulichukua kutoka Kenya
Msianze kitu kikubwa Kama hamna uwezo wa kikimalizaKhaaaah ? Kenya msianze nasema msianze !!!
Kukimaliza itabidi walie wote kilio Cha msiba!!Msianze kitu kikubwa Kama hamna uwezo wa kikimaliza