Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,718
- 126,563
Hayo yote yanakufanya uwe imara kupambana zaidiMambo kwenda mrama ndio matunda hayo.
Hayo yote yanakufanya uwe imara kupambana zaidiMambo kwenda mrama ndio matunda hayo.
Mtani kwanini sikuhizi mmekuwa wazee wa lawamaLini tulisema tumewalipa Mtani.
Lawama zangu ni kwa TFF pekee.Mtani kwanini sikuhizi mmekuwa wazee wa lawama
Pekee ndiyo ninaekuheshimu binamu kwa misimamo yako madhubuti ..Lawama zangu ni kwa TFF pekee.
Yako madhubuti sana maneno yako Binamu.Pekee ndiyo ninaekuheshimu binamu kwa misimamo yako madhubuti ..
Binamu zangu wote hawajamboYako madhubuti sana maneno yako Binamu.
Binamu tuupokee mwezi wa Toba na msamaha natanguliza kwenu mniwie radhi...Yako madhubuti sana maneno yako Binamu.
Radhi mbaya za wazazi kwa watoto wasio na nidhamu ni mbaya kwa kusema ule ukweli.Binamu tuupokee mwezi wa Toba na msamaha natanguliza kwenu mniwie radhi...
Ukweli ni kwamba JF ni bora.Radhi mbaya za wazazi kwa watoto wasio na nidhamu ni mbaya kwa kusema ule ukweli.
Bora letu litadumu na kuenzika isapo tutaheshimu maadili na kutunza Rai za wadau...Ukweli ni kwamba JF ni bora.
Wadau sisi ndio wapambe nuksi tupo kuharibuBora letu litadumu na kuenzika isapo tutaheshimu maadili na kutunza Rai za wadau...
Kuharibu ndiyo kutengeneza !!Wadau sisi ndio wapambe nuksi tupo kuharibu
Kutengeneza timu ni ngumu, tuulize sisi arsernalKuharibu ndiyo kutengeneza !!
Arsenal ipo mbali huko shughulika na wa nchini humu Kuna la kujifunza..Kutengeneza timu ni ngumu, tuulize sisi arsernal
Mario hua aeshimiwi kama Pierre liquid na ndio maana Pierre atabaki kuwa juu kileleni
Sent using Jamii Forums mobile app
Afike mgeni Ramadhani ilituandae karamu ya futari...Kileleni ndiko mwanamke anakotaka afike
Futari ni tamu ikipikwa kiufundiAfike mgeni Ramadhani ilituandae karamu ya futari...
Kiufundi kila mpangilio utafanikisha malengo ..Futari ni tamu ikipikwa kiufundi
Malengo pia huitaji supportKiufundi kila mpangilio utafanikisha malengo ..
Support itahitajika ktk plan B kwanza onesha kujituma..Malengo pia huitaji support