life is Short
JF-Expert Member
- Apr 1, 2013
- 4,741
- 3,037
Kumefubaa kwa wakati maalum baadae patafyatuka !!Zanzibar kumefubaa
Kumefubaa kwa wakati maalum baadae patafyatuka !!Zanzibar kumefubaa
Patafyatuka tena. Duuh. Binamu lugha hii. 😀Kumefubaa kwa wakati maalum baadae patafyatuka !!
Afya bora hutokana na chakula boraPatafyatuka tena. Duuh. Binamu lugha hii.
Vp umzima wa afya?
Bora uzima tu Amini kila jambo litakuwa Sahala !!Afya bora hutokana na chakula bora
Tutafurahi sana na kusahau machungu yoteBora leo aongeze mshahara japo asilimia 10 tu
Bora nimekuona.Afya bora hutokana na chakula bora
Yote kwangu NI kheri Jambo wengi hamuridhiki..Tutafurahi sana na kusahau machungu yote
Nimekuona japo umejificha kwa muda mrefu kwa kujivika vazi jipyaBora nimekuona.
Vazi jipya huwa linazubaisha.Nimekuona japo umejificha kwa muda mrefu kwa kujivika vazi jipya
Linazubaisha kwa mvuto wa ushonaji wako binamu daima use na Uzima...Vazi jipya huwa linazubaisha.
Uzima na Afya bora ndio tunachokiombea kila uchwao.Linazubaisha kwa mvuto wa ushonaji wako binamu daima use na Uzima...
Uchwao kuna watu wanatseka na trends za msimbaziUzima na Afya bora ndio tunachokiombea kila uchwao.
Uchwao wa alfajiri ndiyo wenye baraka na malipo maradufu...Uzima na Afya bora ndio tunachokiombea kila uchwao.
Msimbazi napasikia tu ndio wapi kwani?Uchwao kuna watu wanatseka na trends za msimbazi
Kwani ijumaa hujui kuna kiporo kingine kinaenda kuliwa kule mbeya na mnyamaMsimbazi napasikia tu ndio wapi kwani?
Mnyama huyu wa miamala akile tu hicho kiporo. Binamu life is Short kwani uongo?Kwani ijumaa hujui kuna kiporo kingine kinaenda kuliwa kule mbeya na mnyama
Uongo wa kujidai mmewalipa mishahara wachezaji wakati bado mtaacha liniMnyama huyu wa miamala akile tu hicho kiporo. Binamu life is Short kwani uongo?
Uongozi mbovu ndio chanzo cha mambo kwenda mramaMnyama huyu wa miamala akile tu hicho kiporo. Binamu life is Short kwani uongo?
Lini tulisema tumewalipa Mtani.Uongo wa kujidai mmewalipa mishahara wachezaji wakati bado mtaacha lini
Mambo kwenda mrama ndio matunda hayo.Uongozi mbovu ndio chanzo cha mambo kwenda mrama