Uncle Yoso
JF-Expert Member
- Feb 19, 2015
- 377
- 262
Pacha mtaani nyumbani ni maswahibaNg'ombe wa maskini hazai pacha
Pacha mtaani nyumbani ni maswahibaNg'ombe wa maskini hazai pacha
maSwahiba wakikutana huwasahau Mahabuba !!Pacha mtaani nyumbani ni maswahiba
Mbwa wa Polisi wamefunzwa kufuata Amri...Mahabuba ni Baba Debora tu, wanaume wengine wote nawaona kama Mbwa!
Mbwa wa Polisi wamefunzwa kufuata Amri...
Anaezezifuata ni mama deboraAmri kumi za Mungu hakuna anayezifata
Anaezezifuata ni mama debora
Halisi ni maziwa ya mamaDebora sio jina lake halisi
Mama ni mama,ata akiwa kapukuHalisi ni maziwa ya mama
Kapuku Ina utaratibu wa kuduwaa !!Mama ni mama,ata akiwa kapuku
kuduawa husababishwa na kushanga shangaa mamboKapuku Ina utaratibu wa kuduwaa !!
kuduawa husababishwa na kushanga shangaa mambo
Jamani ya kweli hayo ngoja na mimi nijeMambo gani haya mnanifata pm kunitongoza jamani!
"Nije" kufanya nini? Wanaitongoza picha ya mama Debora au mama Debora mwenyewe!Jamani ya kweli hayo ngoja na mimi nije
Mwenyewe wangemjua wasingethubutu kumtongoza wanavutiwa na avatar ya kudmwnload"Nije" kufanya nini? Wanaitongoza picha ya mama Debora au mama Debora mwenyewe!
Kudmwnload kubaya,tafuta vitu halisi.Mwenyewe wangemjua wasingethubutu kumtongoza wanavutiwa na avatar ya kudmwnload
halisi ndo mpango akishindwa bhaas akajiunge CHAPUTAKudmwnload kubaya,tafuta vitu halisi.
Cha pukutika Kama majani ya mwembe .!!halisi ndo mpango akishindwa bhaas akajiunge CHAPUTA
Mwembe mchomeke, ni jina la sehemu huko ZanzibarCha pukutika Kama majani ya mwembe .!!
Mwembe mchomeke, ni jina la sehemu huko Zanzibar