Njopino
JF-Expert Member
- Apr 8, 2014
- 3,468
- 5,070
mkongwe hawajanijua vyema kuwa nipo kwenye huu mchezo kitambo, wanadiriki kusema nimedandia gari kwa mbele kweli ni haki hiiNiliyasikia malumbano ya mwanasiasa mkongwe !!
mkongwe hawajanijua vyema kuwa nipo kwenye huu mchezo kitambo, wanadiriki kusema nimedandia gari kwa mbele kweli ni haki hiiNiliyasikia malumbano ya mwanasiasa mkongwe !!
Hii ni tecno sio iphonemkongwe hawajanijua vyema kuwa nipo kwenye huu mchezo kitambo, wanadiriki kusema nimedandia gari kwa mbele kweli ni haki hii
Hii ni tecno sio iphone
Kutosha kwa mazao na nafaka yamekaribia..iPhone sizipendi, hazina magemu ya kutosha!
Yamekaribia kivipi, mbona hueleweki!Kutosha kwa mazao na nafaka yamekaribia..
hueleweki ki maana, kimuundo na kimatamshiYamekaribia kivipi, mbona hueleweki!
Kimatamshi Kichina kinanisumbua. Lakin kukiandika na kusoma niko vizurihueleweki ki maana, kimuundo na kimatamshi
Kimatamshi Kichina kinanisumbua. Lakin kukiandika na kusoma niko vizuri
Madeni dawa yake ni kulipaVizur zaid kama unaweza kuish bila madeni
Kulipa maskini deni lake ni furaha kwakeMadeni dawa yake ni kulipa
Kwake kunaporomoka kashughulika kuwachafua wenye nacho !!Kulipa maskini deni lake ni furaha kwake
Nacho kilipasuka tulipoingizaKwake kunaporomoka kashughulika kuwachafua wenye nacho !!
Tulipoingiza bomba la mafuta kisimani ikatoka Gesi..Nacho kilipasuka tulipoingiza
Gesi inagarama sana kuliko mafutaTulipoingiza bomba la mafuta kisimani ikatoka Gesi..
Mafuta ya halizeti yanafaida kobishara na afya kwa matumizi...Gesi inagarama sana kuliko mafuta
Mshindi ni wewe tunakupongeza mdau mpya!!Nimefunga huu uzi. Wa kwanza ndiye mshindi.
Mafuta ya halizeti yanafaida kobishara na afya kwa matumizi...
Matumizi ya pesa ni mabovu kwaoMafuta ya halizeti yanafaida kobishara na afya kwa matumizi...
Kumudu ni rahisi sababu wanafahamianaMatumizi yangu ya mwezi wewe life is Short huwezi kumudu!