Mama Debora
JF-Expert Member
- Aug 30, 2018
- 1,481
- 2,608
Tafadhali, usinipangie cha kuandikaBalaa gani hili unaibua mtandaoni tafadhali...
Tafadhali, usinipangie cha kuandikaBalaa gani hili unaibua mtandaoni tafadhali...
Kuandika ni haki yako Ndg. Tafadhali ujue unacho kusudia kina akisi Personalty yako, ulezi wako, elimu yako Hadi kufikia anuani (id) yako !! Kumradhi sasa wewe upo huru !!Tafadhali, usinipangie cha kuandika
Kuandika ni haki yako Ndg. Tafadhali ujue unacho kusudia kina akisi Personalty yako, ulezi wako, elimu yako Hadi kufikia anuani (id) yako !! Kumradhi sasa wewe upo huru !!
Huruma hupandikizwa nami ndo utamaduni wangu kukuelmisha...Huru ni kifupi cha huruma, mie sina huruma!
Kukuelimisha dume zima na midevu yako siwezi!Huruma hupandikizwa nami ndo utamaduni wangu kukuelmisha...
Kukuelimisha dume zima na midevu yako siwezi!
Kuku wa kienyeji hafui dafu ...Siwez kufuga kuku
Kuku wa kienyeji hafui dafu ...
Uchizi unatibika na kufutika kbs ilimradi waathirika wa mento wajitambue.. !!Dafu la pwani linaleta uchizi
Wajitambue labda kwa kupewa elimu ya malipo kuliko bureUchizi unatibika na kufutika kbs ilimradi waathirika wa mento wajitambue.. !!
wajitambue kama wagonjwa mana kuna watu ni wagonjwa afu hawajitambui kabisa kama ccmUchizi unatibika na kufutika kbs ilimradi waathirika wa mento wajitambue.. !!
Wajitambue labda kwa kupewa elimu ya malipo kuliko bure
Bure kabisa huyu jamaa alie comment hapo juu yangu anaitwa Njopino, hafuati mtiririko wa mchezo!!
Kadandia gari kwa mbele, atagongwa nyuma!Mchezo wa huu mtiririko Njopino kadandia
Kadandia treni kwa mbele ikamgongaMchezo wa huu mtiririko Njopino kadandia
Nyuma kwa @khante kunachezacheza akitembeaKadandia gari kwa mbele, atagongwa nyuma!
Akitembea hatikisi makalio kama yangu, labda kwa vile hujanijua!Nyuma kwa @khante kunachezacheza akitembea
Hujanijua vipi mstaarabu sinto ruhusu majibizano !!Akitembea hatikisi makalio kama yangu, labda kwa vile hujanijua!
Majibizano kati yako na mkeo niliyasikiaHujanijua vipi mstaarabu sinto ruhusu majibizano !!
Niliyasikia malumbano ya mwanasiasa mkongwe !!Majibizano kati yako na mkeo niliyasikia