Njopino
JF-Expert Member
- Apr 8, 2014
- 3,468
- 5,070
mtaani kwetu kuna vitoto vinajifanya viuni sana kumbe vijinga tuMchoyo Hana makazi mema hapa mtaani..
mtaani kwetu kuna vitoto vinajifanya viuni sana kumbe vijinga tuMchoyo Hana makazi mema hapa mtaani..
Mtaani kwetu kumechangamka kama vile watu wote hawana shida na maishaMchoyo Hana makazi mema hapa mtaani..
Tuna siku ngapi zimebakia tukatembee Arusha?mtaani kwetu kuna vitoto vinajifanya viuni sana kumbe vijinga tu
Arusha ? mbona safari hiyo siifahamu au ya kifamilia tu embu fafanua mkuuTuna siku ngapi zimebakia tukatembee Arusha?
Mkuu mie nstoa OFA maridhawa tuungane na akina "da" fulani !!Arusha ? mbona safari hiyo siifahamu au ya kifamilia tu embu fafanua mkuu
Fulani mwenyewe kasagiriMkuu mie nstoa OFA maridhawa tuungane na akina "da" fulani !!
Kasafiri peke yake bila kuaga !!
Unaodharaulika zile tabia za kujisifu !!
Kujisifu sio Tabia nzuri na haipendeziUnaodharaulika zile tabia za kujisifu !!
Haipendez kama huja+like p0st ya mwenzko
Mwenzako anajinyima na anamenyeka kutwa nawe unatumbua !!Haipendez kama huja+like p0st ya mwenzko
°•°Faith •Hope •Charity•°•
Mwenzako anajinyima na anamenyeka kutwa nawe unatumbua !!
Sindano imenijeruhi imeacha kovu !!
....imeacha kovu lisilofutikaSindano imenijeruhi imeacha kovu !!