life is Short
JF-Expert Member
- Apr 1, 2013
- 4,741
- 3,037
Mtu ninaemshangaa ni msanii..Kuchaguliwa ni kubaya bora kuchagua kama leo taifa star walivochagua kumuua mtu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtu ninaemshangaa ni msanii..Kuchaguliwa ni kubaya bora kuchagua kama leo taifa star walivochagua kumuua mtu
Sent using Jamii Forums mobile app
msanii wakati mwingine anakuwa kama mwanasiasa anajiita vegetarian huku anakula nyama kwa kifichoMtu ninaemshangaa ni msanii..
Kificho alikuwa ni Mwenyekiti wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar enzi Mkwere akiwa ni Rais wa JMT, alificha mengi kweli kwelimsanii wakati mwingine anakuwa kama mwanasiasa anajiita vegetarian huku anakula nyama kwa kificho
Kwel bla kificho #Taifa stars ★.... Tumeua mtu leoKificho alikuwa ni Mwenyekiti wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar enzi Mkwere akiwa ni Rais wa JMT, alificha mengi kweli kweli

Leo ni raha...jamani rahaKwel bla kificho #Taifa stars ★.... Tumeua mtu leo
°•°Faith •Hope •Charity•°•
raha yako wape na wengineLeo ni raha...jamani raha
Leo mambo ni #Nganganga... Niamn mm
Mimi nasema ngenge ngeee...Leo mambo ni #Nganganga... Niamn mm
°•°Faith •Hope •Charity•°•
Ngeeee..., kengele ya kutoka darasani enzi hizo tulikuwa tunaifurahia sana
Sana sana.... Especially kipnd cha mapumzkoNgeeee..., kengele ya kutoka darasani enzi hizo tulikuwa tunaifurahia sana
Sent using Jamii Forums mobile app



Mapumziko ya mechi ya leo magoli yalikuwa mangapiSana sana.... Especially kipnd cha mapumzko
°•°Faith •Hope •Charity•°•
yalisitishwa vipi kwani zile bia zetu za nusu bei tunaanza kunywa saa ngapiMapumziko Kati ya mafahari wawili yalisitishwa..
Ngapi idadi tulizo ruhusiwa...?yalisitishwa vipi kwani zile bia zetu za nusu bei tunaanza kunywa saa ngapi
Ruhusiwa ni Kitenzi... #QoooonkiiiiiNgapi idadi tulizo ruhusiwa...?
Kitenzi shirikishi au kitenzi kipiRuhusiwa ni Kitenzi... #Qoooonkiiiii
°•°Faith •Hope •Charity•°•
Mstaafu hata Dk. Jk pia