life is Short
JF-Expert Member
- Apr 1, 2013
- 4,741
- 3,037
Bhangiza bangiza mwishoe unaibuka beans harusi
Bhangiza bangiza mwishoe unaibuka beans harusi
Harusi yangu itapendeza sanaBhangiza bangiza mwishoe unaibuka beans harusi
Sana Sana ukitualika tutakusaidia kupamba ukumbi..
Ukumbi wa sherehe sasa ni ghali sanaSana Sana ukitualika tutakusaidia kupamba ukumbi..
Sana inabore kwa sisi waungwanaUkumbi wa sherehe sasa ni ghali sana
sent using samsung s8
Waungwana wanafunga ndoa kimya kimya
Waungwana wanatarajiwa..kupigiwa kura !!
Kimya kimya kashtukizia maofisini..Waungwana wanafunga ndoa kimya kimya
sent using samsung s8
Maofisini kuna watu wanajifanyaga wajuaji balaaKimya kimya kashtukizia maofisini..
Balaa na ujeuri unakimkomo chake siku itafika..
Itafika kipindi jf itakuwa Kama fb maana mmh....Balaa na ujeuri unakimkomo chake siku itafika..
Sema tu upo mbali nakukosa ninalia kwa uchungu !!
Uchungu wa mwana aujuaye mzaziSema tu upo mbali nakukosa ninalia kwa uchungu !!
Mtoto wa Masikini ktk jamiii yetu hatukuzwi...
Hatukuzwi asiyestahiliMtoto wa Masikini ktk jamiii yetu hatukuzwi...
Tu? tunasema bila mtiririko
Balaa la ofisi gani hilo?
Hilo lenye mashankubeBalaa la ofisi gani hilo?