Lewis Maker
Member
- Jan 25, 2019
- 47
- 16
Uwanjani mie situlii huwa nawapiga mateke watazamaji !!
Watazamaji wakakuwa wengi siku ya gameUwanjani mie situlii huwa nawapiga mateke watazamaji !!
Jamii iliyonizunguka naipa heshima na taadhima.
taadhima ni msamiati utumikao ktk kiswahili fasahaJamii iliyonizunguka naipa heshima na taadhima.
Fasaha limekuwa neno gumu mpaka limesindwa tungiwa sentensitaadhima ni msamiati utumikao ktk kiswahili fasaha
Sentesi Tata huwa Ni vigumu kuelewekaFasaha limekuwa neno gumu mpaka limesindwa tungiwa sentensi
Kueleweka ni kesho na hasa pale The Cranes watakapokalia vya kutosha pale Taifa kwa Mkapa.
Mkapa alikuwa rais wa Tanzania awamu ya tatuKueleweka ni kesho na hasa pale The Cranes watakapokalia vya kutosha pale Taifa kwa Mkapa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nnayo moyo wa kusema ukweli japo ukweli ni mchungu unauma..!!
Unauma haswaNnayo moyo wa kusema ukweli japo ukweli ni mchungu unauma..!!