life is Short
JF-Expert Member
- Apr 1, 2013
- 4,741
- 3,037
Humu Kuna kambinu uanza na alama @ halafu week jina la mlengwa
Humu Kuna kambinu uanza na alama @ halafu week jina la mlengwa
Mlengwa ni yup?Humu Kuna kambinu uanza na alama @ halafu week jina la mlengwa
Yupi aliye vua T-shirt akaonyesha six packs hadharani..?Mlengwa ni yup?
°•°Faith •Hope •Charity•°•
Hadharani nimemuona agimwaga manyangaYupi aliye vua T-shirt akaonyesha six packs hadharani..?
Manyaga yalimwagwa mkuranga !!Hadharani nimemuona agimwaga manyanga
Mkuranga ni wilaya ya washenziManyaga yalimwagwa mkuranga !!
Mkuranga ndo anakotoka yule mvua shat na kuonesha mwl wake hadharaniManyaga yalimwagwa mkuranga !!



Washenzi ni watu waliokosa ustaarabu na shubhughaaMkuranga ni wilaya ya washenzi
Shubhughaa na udugu wetu tafadhalini tusichafue hewa kwa Lafudhi chafuWashenzi ni watu waliokosa ustaarabu na shubhughaa
°•°Faith •Hope •Charity•°•
Chafu cku zote haichafuki.... Kama Qoonkii2Shubhughaa na udugu wetu tafadhalini tusichafue hewa kwa Lafudhi chafu
Qoonkii2 maana yake nini Mkuu? Binamu life is Short njoo unisaidie huku mie nimetoka kapaChafu cku zote haichafuki.... Kama Qoonkii2
°•°Faith •Hope •Charity•°•
Qoonkii hivi ni neno la kiingereza au kiswahiliChafu cku zote haichafuki.... Kama Qoonkii2
°•°Faith •Hope •Charity•°•
Kiswahili hicho mkuu
Mkuu wa mkoa wetu ni Makonda,Kiswahili hicho mkuu
Chafu pozi si wimbo alioimba Bili nas
Nas yaweza kuwa ni uwingi wa naChafu pozi si wimbo alioimba Bili nas

nas tutakuwepo kesho uwanja wa taifa kuangalia mpira wa taifa stars si unajua yule kigogo kasema tukiwai kumshika mkono tunaingia nae uwanjaniChafu pozi si wimbo alioimba Bili nas
wa na mbona umepata kigugumizi gafla
Uwanjani taifa kesho tutegemee Taifa Stars kutoa suluhunas tutakuwepo kesho uwanja wa taifa kuangalia mpira wa taifa stars si unajua yule kigogo kasema tukiwai kumshika mkono tunaingia nae uwanjani