mamylove
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 1,089
- 1,783
Mbalimbali Happ wodini hulazwa wenye maambukizi..
Mbalimbali Happ wodini hulazwa wenye maambukizi..
Haijapatikana ile ndege ya MH iliyopotea bahari Hindi..Maambukizi ya virus vya UKIMWI bado ni tishio kwa sababu dawa yake bado haijapatikana
Haijapatikana ile ndege ya MH iliyopotea bahari Hindi..
Hindi ni lugha ya taifa ya India na maana nyingine humaanisha mtu mwenye asili/uraia wa India.
India ni moja ya nchi zinzolima zao la chai kwa wingi sana duniani.
India ni moja ya nchi zinzolima zao la chai kwa wingi sana duniani.
Wasafiri wa ndege siku hizi wana tabu!!Duniani tunapita tu, ni wasafiri
Hawajaipitisha ule muswada wa uraia pacha?
Pacha wanaofanana unaweza pata tabu sana ukitaka kuoa mmoja wapoHawajaipitisha ule muswada wa uraia pacha?


Wapo wandugu wengi walofunga pingu...Pacha wanaofanana unaweza pata tabu sana ukitaka kuoa mmoja wapo
![]()
Pingu ni bangili ya serikaliWapo wandugu wengi walofunga pingu...
Wamoja ktk kulinda mipaka ya nchi yetu dhidi..
Dhidi ya maadui wote wasioitakia mema nchi yetuWamoja ktk kulinda mipaka ya nchi yetu dhidi..