ABJ
JF-Expert Member
- Aug 29, 2017
- 4,922
- 13,817
Amani imetunukiwa kwetu kwa wasaa..
wasaa uliopo ni kumalizia kazi yetu hii kisha tukapumzikeAmani imetunukiwa kwetu kwa wasaa..
Tukapumzike kwenye bustani ya akhera au shimo ja Jahanamu?wasaa uliopo ni kumalizia kazi yetu hii kisha tukapumzike
Amani na upendo daima
Jehanam ni wapi huko?Tukapumzike kwenye bustani ya akhera au shimo ja Jahanamu?
Zimika zimika hauzimiki kila Njia tumejaribu !!
Tumejaribu kwa kila namna mpaka tumefanikiwaZimika zimika hauzimiki kila Njia tumejaribu !!
Tumefanikiwa kusamehewa adhabu ya kunyogwa!!
Kunyongwa Ni adhabu iliokuwepo tangu enzi za mababu zetuTumefanikiwa kusamehewa adhabu ya kunyogwa!!
Kupona ktk majanga ya chooera NI kuweka usafi wa Mazingira..
Mazingira yakiwa safi yanavutiaKupona ktk majanga ya chooera NI kuweka usafi wa Mazingira..
Yamepangiliwa kwa ajili Kuna weledi wa mfumo mipango ..
Mipango ya taifa stars ni kushinda mechi ya jumapiliYamepangiliwa kwa ajili Kuna weledi wa mfumo mipango ..
Jumapili kunakuwaga na utulivu..Mipango ya taifa stars ni kushinda mechi ya jumapili
Utulivu mzuri wa kukaa na kuenjoy mechiJumapili kunakuwaga na utulivu..