Njopino
JF-Expert Member
- Apr 8, 2014
- 3,468
- 5,070
mabonde sio nzuri kwa kuwa ndio chanzo cha mmong'onyoko wa udongoHatari kujenga nyumba kwenye mabonde..
mabonde sio nzuri kwa kuwa ndio chanzo cha mmong'onyoko wa udongoHatari kujenga nyumba kwenye mabonde..
Udongo siku hizi hauna rutuba mpaka uweke mboleamabonde sio nzuri kwa kuwa ndio chanzo cha mmong'onyoko wa udongo
Mbolea inayotumika kwenye udongo wa mashamba ya mahindi ni ipi?
Ipi na ipi ni nzuri?Mbolea inayotumika kwenye udongo wa mashamba ya mahindi ni ipi?
nzuri kwa muonekano wa nje au uimara wake embu fafanua mkuuIpi na ipi ni nzuri?
Mkuu, sio lazima ufafanuliwe jitahid kuelewa hivo hivo tuu. Maana hamna namna nyinginenzuri kwa muonekano wa nje au uimara wake embu fafanua mkuu
Nyingine zina namna ngumu sanaMkuu, sio lazima ufafanuliwe jitahid kuelewa hivo hivo tuu. Maana hamna namna nyingine
Nyingine zina namna ngumu sana
Kabisaa walipigilia misumari ..Sana sana usipozingatia ndo huelewei kabisaa
eti inahitajika misumari nchi ngapi kugongelea bati
Bati moja misumari nchi tanoeti inahitajika misumari nchi ngapi kugongelea bati
Kumi na moja ni idadi ya mafundi ..
FITINA kwa kweki zipo kila Kona haswa ni hulka .
Hulka ya mtu haibadilikiFITINA kwa kweki zipo kila Kona haswa ni hulka .
Haibadiliki ila hujibadilisha Kama vile sura mbili tofauti...
Haibadiliki ila hujibadilisha Kama vile sura mbili tofauti...
Binafsi mie humtathmini mtu ktk hulka na miamala..
Binafsi mie humtathmini mtu ktk hulka na miamala..