ABJ
JF-Expert Member
- Aug 29, 2017
- 4,799
- 13,538
Uchafu ina maana hawaogi au hawafui nguo
Nguo chafu kuto kuoga vyote hivyo ni sifa yaoUchafu ina maana hawaogi au hawafui nguo
Yao ni kabila maarufu huko kusini
Tanzania inaongoza katika utalii na vivutivo almaarufu WONDERLAND..
WONDERLAND ukimaanisha nchi ya maajabuTanzania inaongoza katika utalii na vivutivo almaarufu WONDERLAND..
Ndege aina ya tai miguu yao ina nguvu sana kuweza hata kubeba mbwa
watu hao hao ambao wengi wao walifariki hapa majuzi kutokana na ajali
157 na zaidi kwa makumi ndio idadi CCM chama dume itashinda kwa Wabunge kwenye uchagizi wa 2020
2020 NI mwaka wa kuibuka kimaendekeo na si kisiasa tunahitaji kuwa na malengo lukuki..157 na zaidi kwa makumi ndio idadi CCM chama dume itashinda kwa Wabunge kwenye uchagizi wa 2020
Sent using Jamii Forums mobile app
Lukuki kama mamluki2020 NI mwaka wa kuibuka kimaendekeo na si kisiasa tunahitaji kuwa na malengo lukuki..
Viwanda vitatu vinajengwa kwa mpigo mmoja..