life is Short
JF-Expert Member
- Apr 1, 2013
- 4,741
- 3,037
Msingi wa maadili bora huanzia utotoni....Chanya na hasi Ni hesabu zilizonisumbua enzi za shule ya msingi
Msingi wa maadili bora huanzia utotoni....Chanya na hasi Ni hesabu zilizonisumbua enzi za shule ya msingi
Utotoni na udogoni Ni tofauti kumbe!Msingi wa maadili bora huanzia utotoni....
Kumbe lahaja zangu ni za kishamba kadri niwepo huku pwani..?Utotoni na udogoni Ni tofauti kumbe!
Kumbe ni kisanga hadi wasukuma wapo humuUtotoni na udogoni Ni tofauti kumbe!
Humu jahanamu kuna kila aina ya raia kutokana na miamala !!
Miamala haiwezi kukamilika bila juhudi binafsiHumu jahanamu kuna kila aina ya raia kutokana na miamala !!
Binafsi nawakubali waTZ popote walipo..
Walipo hata chooni unawakubaliBinafsi nawakubali waTZ popote walipo..
Unawakubali wale wasemae kuwa "Nyumba ni choo"Walipo hata chooni unawakubali
Choo hasa kikubwa kinapendeza sana kama uamini kafungue thread ya kutupia demu mkali utajua namaanisha niniUnawakubali wale wasemae kuwa "Nyumba ni choo"
Nini nilichofikiria ni kuwajengea wazazi makazi ya kisasa !!Choo hasa kikubwa kinapendeza sana kama uamini kafungue thread ya kutupia demu mkali utajua namaanisha nini
Nini unataka nijueChoo hasa kikubwa kinapendeza sana kama uamini kafungue thread ya kutupia demu mkali utajua namaanisha nini
Kisasa ndio swaga mambo ya cybernet na mtandaoNini nilichofikiria ni kuwajengea wazazi makazi ya kisasa !!
Mtandao una faida na hasara Siye tujikite ktk kuheshimu sheria !!Kisasa ndio swaga mambo ya cybernet na mtandao
Sheria tutaziheshimu iwapo watunga sheria wataziheshimu. Period!Mtandao una faida na hasara Siye tujikite ktk kuheshimu sheria !!
Tatua tatizo lingali bado bichi likikomaa utajuta !!
Utajuta sana hadi utachanganyikiwa na kujutia siku uliyoletwa dunianiTatua tatizo lingali bado bichi likikomaa utajuta !!
Duniani kwenyewe hakuelewekiUtajuta sana hadi utachanganyikiwa na kujutia siku uliyoletwa duniani