life is Short
JF-Expert Member
- Apr 1, 2013
- 4,741
- 3,037
Wazimu wa kuendekeza mitandao hupelekesha pabaya!!misongo yamawazo inaeza pelekea ata raia kujidhuru mwenyewe yaani nusu wazimu...
Wazimu wa kuendekeza mitandao hupelekesha pabaya!!misongo yamawazo inaeza pelekea ata raia kujidhuru mwenyewe yaani nusu wazimu...
Mtaalamu ni mie mwenyewe Nina stashahada ya kupambanua..Kulitibu jinamizi hilo kunahitaji mtaalamu
Mtaalamu ni mie mwenyewe Nina stashahada ya kupambanua..
Baya zaidi nasikitika kuwaaga maana naingia gym mazoezini niwieni radhi nawapendenii...kupambanua mambo kutakusaidia kujua jema na baya..
Nawapendeni wote mnao piga kaziBaya zaidi nasikitika kuwaaga maana naingia gym mazoezini niwieni radhi nawapendenii...


Baya zaidi nasikitika kuwaaga maana naingia gym mazoezini niwieni radhi nawapendenii...
Tafakari kwanza kabla ya kuchukua hatuanawapendeni wote muda wakufanya meditation umefika acha tukafanye tafakari kwanza..
Hatua kwa hatua mpaka mshindi apatikane.
Apatikane hata kama ni karne moja ijayoHatua kwa hatua mpaka mshindi apatikane.


Ijayo minajili ya kufahamiana wenyeji was Kanda..Apatikane hata kama ni karne moja ijayo
![]()
Kanda kwa lingala inamaanisha hasiraIjayo minajili ya kufahamiana wenyeji was Kanda..
Hasira za Nini Tena mke keshakiri makosa..
Makosa yenyewe ya kusingiziwaHasira za Nini Tena mke keshakiri makosa..
Mafumbo na kejeri ni hulka zisizopendeza ktk jamii..dushe!!! acha izo maneno ya mafumbo
Mafumbo na kejeri ni hulka zisizopendeza ktk jamii..
jamii ya watanzania ndo jamii inayoongoza kufuata hisia za watu wangine
jamii ya watanzania ndo jamii inayoongoza kufuata hisia za watu wangine
Wengine ni wadada wazuri lakini wanalewa kama baba zao