captain sparrow339
JF-Expert Member
- Sep 5, 2018
- 288
- 354
Simba,twiga,faru,tembo,panya,farasi na mbwa hivi zote Ni nyaraka za silikali?Kitaifa, ni hadhi ya Timu ya Simba
Simba,twiga,faru,tembo,panya,farasi na mbwa hivi zote Ni nyaraka za silikali?Kitaifa, ni hadhi ya Timu ya Simba
Silikali nimeangalia kwenye kamusi sijaziona, labda sirikali!Simba,twiga,faru,tembo,panya,farasi na mbwa hivi zote Ni nyaraka za silikali?
Njama dhidi ya nani??? malizia mkuu life is ShortSiri ni Kali pale panapo kuwa na njama dhidi...
Mkuu life is Short maana swali lako Ni sentensi shurutiaNjama dhidi ya nani??? malizia mkuu life is Short
Sentensi shurutiani zile sentensi zenye nge, ngeli, na ngali ndani take. Au mimi ndo naelewa vibaya?Mkuu life is Short maana swali lako Ni sentensi shurutia
Vibaya sana kutokujua sarufiSentensi shurutiani zile sentensi zenye nge, ngeli, na ngali ndani take. Au mimi ndo naelewa vibaya?


Sarufi ni elimu ya kupanga maneno kwa ufasahaVibaya sana kutokujua sarufi
![]()
unaouzungumzia ni ufasaha ama ni usaha wa wale wanaofanya mzaha na maisha yetuUfasaha upi unaouzungumzia?
Yetu sote ni kuheshimu sheria bila shuruti..unaouzungumzia ni ufasaha ama ni usaha wa wale wanaofanya mzaha na maisha yetu
shuruti imekuwa ndiyo kuheshimuYetu sote ni kuheshimu sheria bila shuruti..
Kuheshimu wenzio ndiyo kuheshimu mwenendo wako !!shuruti imekuwa ndiyo kuheshimu
wako wasioheshimu wengine lakini wao wanataka kuheshimiwaKuheshimu wenzio ndiyo kuheshimu mwenendo wako !!
Kuheshimiwa bure bure hizo zilipendwa..wako wasioheshimu wengine lakini wao wanataka kuheshimiwa
Kuheshimiwa na kuheshimu ni wajib wa kila mtuwako wasioheshimu wengine lakini wao wanataka kuheshimiwa