bbc
JF-Expert Member
- Jan 18, 2016
- 3,836
- 4,152
Mshindo wa poromoko la mwamba...
Mwamba ngoma ngozi huvutia kwakeMshindo wa poromoko la mwamba...
Kwake pakavu mtilie mboga
Mboga saba wanadeka sana maringo kwa sana ...Kwake pakavu mtilie mboga
J/Forum ikichemsha tu mie naswanzuka...
Naswanzuka namie ntaenda kushinda ata maktaba au sio...J/Forum ikichemsha tu mie naswanzuka...
Sio kusudi langu kukusambaratisha kihivyo...
Kihivyo msinichukulie mwenye uzi wake nimerudiSio kusudi langu kukusambaratisha kihivyo...
Nimerudi BINGWA wenu baada ya kuwa ughaibuniKihivyo msinichukulie mwenye uzi wake nimerudi
Ughaibuni sijawahi fika mimiNimerudi BINGWA wenu baada ya kuwa ughaibuni

Mimi ntakufikisha wewe tayarisha Pasi ya kusafiri!!!
Kusafiri kwenye ndege naogopa labda tupande daladalaMimi ntakufikisha wewe tayarisha Pasi ya kusafiri!!!
Daladala ni mtandao wa usafiri Dar-es-Salaam
Daladala ni mtandao wa usafiri Dar-es-Salaam
London ni jiji linalo hodhi rasilimali na mikataba ya kitaifa !!!Dar-es-salaam inakaa London
Kitaifa, ni hadhi ya Timu ya SimbaLondon ni jiji linalo hodhi rasilimali na mikataba ya kitaifa !!!