zamani, izo ni stori za kusadikika mkuu
Mkuu wa kaya anazingua sana.
zamani, izo ni stori za kusadikika mkuu
wachawi watu wa ajabu sana, eti fani ya kuroga.Sana sinto vumilia kero la wa wachawi..
Kuroga ipo siku ulozi utamgeukia....wachawi watu wa ajabu sana, eti fani ya kuroga.
utamgeukia nani dunia hii kwanza ulishastaafu na madaraka yako hukuyatumia kwa manufaa ya umma, wacha moto ukukaange hadi kaburini.Kmmauroga ipo siku ulozi utamgeukia....
Kaburini ndiko kwenye utajiri,elimu,nafani zilizo sahaulika....utamgeukia nani dunia hii kwanza ulishastaafu na madaraka yako hukuyatumia kwa manufaa ya umma, wacha moto ukukaange hadi kaburini.
Kaburini ndiko kwenye utajiri,elimu,nafani zilizo sahaulika....
Mtambuka mbili moja ina madharaSahaulika ni neno mtambuka.
Madhara yanaweza kuepukikaMtambuka mbili moja ina madhara
kuepukika ki aje? hiyo ni dhana pana sana, sasa kama wameshamwaga mboga tunasubiri nini kumwaga ugali?Madhara yanaweza kuepukika
kuepukika ki aje? hiyo ni dhana pana sana, sasa kama wameshamwaga mboga tunasubiri nini kumwaga ugali?
kabisa kabisa nakubaliana na weweUgali haitoshi kuumwaga. Toboa sufuria kabisa.
kabisa kabisa nakubaliana na wewe
wachawi watu wa ajabu sana, eti fani ya kuroga.
Jamii forum ndiyo mtandao bora wa kijamiikuroga mbaya sana inaleta fitina na umaskini ndani ya jamii...
Kijamii,kiuchumi,kisia,kimichez .kila idara yani imekamilikaJamii forum ndiyo mtandao bora wa kijamii
Vigogo watu ama vigogo vijipande vya viti mikavuImekamilika bila kupewa tafu (tough) na vigogo !!
Mikavu ni sehemu ya dhoofu isiyo na nguvu, iloyo kaukaVigogo watu ama vigogo vijipande vya viti mikavu
Kauka au kukaa kimya!?