Madame B
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 31,841
- 37,579
Mshindi niko wazi
Mshindi niko wazi
kesho, kesho kutwa na hata daima sitajibu chochote ktk uzi huu naona kama hauna mshindi[emoji57][emoji57][emoji57]!!Wanazengo laleni basi tutaendelea kesho
Mshindi utakuwa wewe jipe moyo [emoji3][emoji3][emoji3]haya tutaona Kama hutajibu chochote tena leo hii hiikesho, kesho kutwa na hata daima sitajibu chochote ktk uzi huu naona kama hauna mshindi[emoji57][emoji57][emoji57]!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mshindi utakuwa wewe jipe moyo [emoji3][emoji3][emoji3]haya tutaona Kama hutajibu chochote tena leo hii hii
Sent using Jamii Forums mobile app
Anapinga kufanyiwa tohara !!hii leo mshindi najitangaza nani anapinga?
Anapinga kufanyiwa tohara !!
Wa ukweli hatowaangusha wafuasi wamfuatae...!!tohara humfanya mwanaume kujiona kidume
waukweli ...
wamfuatae shetani hawatouona ufalme wa mbinguniWa ukweli hatowaangusha wafuasi wamfuatae...!!
Mbinguni kuna makazi Muruwa na ku shimo la jahanamu..
Mbinguni kuna makazi Muruwa na ku shimo la jahanamu..
jahannamu inasemekana ni moto mkali kuliko huu wa dunianiMbinguni kuna makazi Muruwa na ku shimo la jahanamu..
viatu vimegawanyika katika makundi mengi, kuna vyenye uwazi, vya kufunika miguu n.k.
viatu vimegawanyika katika makundi mengi, kuna vyenye uwazi, vya kufunika miguu n.k.
n.k. haileti maana taja vyote....
Ruwa ni neon duni ningependa munipe tafsiri ....Vyote vya Ruwa.
Ruwa ni neon duni ningependa munipe tafsiri ....
Pata pote ni shindano la zamani ...Tafsiri nadhani kwenye kamusi waeza pata...
Pata pote ni shindano la zamani ...