bbc
JF-Expert Member
- Jan 18, 2016
- 3,836
- 4,152
Mapacha walogandana wapo ktk chumba cha upasuaji..!!
Upasuaji wa uume ni hatari sanaMapacha walogandana wapo ktk chumba cha upasuaji..!!
Baridi inatufanya watu tuzidi kuwa weusiMafinga ni mji wenye baridi....
Weusi wetu umetukuzwa kama sijida ya usoni....
WCB imenywea kama ngozi ya mzee!!
Mzee baba n mzee kwel?WCB imenywea kama ngozi ya mzee!!
Kweli tumeshinda mechi ya marudiano, tusibweteke!!Mzee baba n mzee kwel?
Usoni ndo mahali panapo gharamiwa sana na wadadaWeusi wetu umetukuzwa kama sijida ya usoni....
Tusibweteke tutakufa masikiniKweli tumeshinda mechi ya marudiano, tusibweteke!!
Masikini ni sifa adhimu mbele ya Manani !!
Manani atujaalie tuwe na mwisho mzuriMasikini ni sifa adhimu mbele ya Manani !!