captain sparrow339
JF-Expert Member
- Sep 5, 2018
- 288
- 354
Wewee Na Mimi hatuwezi kukaa pahara pamoja
Wewee Na Mimi hatuwezi kukaa pahara pamoja
Pamoja umepatia ila sio pahara ni pahalaWewee Na Mimi hatuwezi kukaa pahara pamoja
njano ni rangi inayotumiwa na chama kinachowagandamiza watanzania
Moja? Hapana, mbona naskia kuna waha, wapare, wamakonde na wengine wengi kama huku Congo
Congo sijui vizuri ila huku kwetu tz hatuna ubaguziMoja? Hapana, mbona naskia kuna waha, wapare, wamakonde na wengine wengi kama huku Congo
Sent using Jamii Forums mobile app
Yoyote ule mwenye uwezo anaweza akaishi anapopatakaCongo sijui vizuri ila huku kwetu tz hatuna ubaguzi
Uwe mpare, mmakonde poa tu yan bila shida unaish sehem yoyote.
Sent using Jamii Forums mobile app
Anapopataka Nani Kati yetu sisi?
Sisi sote wala hakuna ambae hapendi kuishi vizuriAnapopataka Nani Kati yetu sisi?
Upo kwa mama au shambani kwa bibi?