life is Short
JF-Expert Member
- Apr 1, 2013
- 4,741
- 3,037
Kote pananihusu nichangie harusi!!
Kote pananihusu nichangie harusi!!
Kimya kingi sana we ulianzisha huu uzi
Kimaneno bila ushahidi haitambuliki...
Haitambulikili lini serikali ita toa ushaidi wa kweli kwa kushambuliwa Mh Antipas Mungwai Tundu LissuKimaneno bila ushahidi haitambuliki...
Tundu Lisilozibika kwa jiwe..Haitambulikili lini serikali ita toa ushaidi wa kweli kwa kushambuliwa Mh Antipas Mungwai Tundu Lissu
Sent using Jamii Forums mobile app
Tundu Lisilozibika kwa jiwe..
Wapagani ni wale wasiomwamini Mwenyezi MUNGUAJABU ILIOJE KUONA WATU NA AKILI ZAO TIMAMU WAKIWA WAMEVAA MAVAZI MEKUNDU KUSHEHEREKEA SIKUKUU YA WAPAGANI
Upako kampa nani uyo mzee wako?"MUNGU HAKUKUUMBA UJE UFE MASKINI, ILA UKIFA UKIWA MASKINI NI UFALA" . Nukuu kutoka kwa Mzee Wa Upako