Xoldier
JF-Expert Member
- Mar 27, 2017
- 424
- 153
Haramu kwako sio haramu kwangu piakidogo cha halali ni bora kuliko kingi cha haramu.
Haramu kwako sio haramu kwangu piakidogo cha halali ni bora kuliko kingi cha haramu.
Vice versa Kama ilivyo kwako na kwa @ Xoldierpia kwa mwingine inaweza kuwa vice versa
Xoldier anajiita tu,ili hali hana mafunzo ya kijeshiVice versa Kama ilivyo kwako na kwa @ Xoldier
Xoldier anajiita tu,ili hali hana mafunzo ya kijeshi
Bia haijawahi kumuacha mlevi salamaKijeshi navalia ,hoteli yoyote naingia sijalishi ina hadhi gani au sh ngapi kunywa bia
salama ndo unatumia tuu..? au hata dumeBia haijawahi kumuacha mlevi salama
Dume la nyani linatembea kwa maringo kwelisalama ndo unatumia tuu..? au hata dume
mgumu kwani ulikosa wa laini
Laini hii nimebaki imara, sihitaji kueleza kila kitu kuhusu jina langumgumu kwani ulikosa wa laini
Jina langu la kwanza sio hili ninalotumia hapa jfLaini hii nimebaki imara, sihitaji kueleza kila kitu kuhusu jina langu
Jf mubashara nipo kila siku
kila siku inapokatika uhai wazidi punguaJf mubashara nipo kila siku
Pungua kwenye timu unayo hisi haiendani nawekila siku inapokatika uhai wazidi pungua
nawe wajifanya soldier kumbe sungu sunguPungua kwenye timu unayo hisi haiendani nawe
Sungu ni msanii mmoja wapo miongoni mwa wasanii wa Tanzanianawe wajifanya soldier kumbe sungu sungu
Sungu ni msanii mmoja wapo miongoni mwa wasanii wa Tanzania
Mungu amekaa kwenye angle ambayo hatuwezi kumfikiaTanzania ni nchi ya amani tunamshukuru Mungu