Xoldier
JF-Expert Member
- Mar 27, 2017
- 424
- 153
Wallahi utaadhibiwa kwa kosa lako
Wallahi utaadhibiwa kwa kosa lako
Vile vile mkumbuke ku reply
KU reply na ku like Kama wahenga wa hi kitu tunavyofanya
Tunavyofanya ni sawa tu na mashindanoKU reply na ku like Kama wahenga wa hi kitu tunavyofanya
Mashindano mengine bwana, eti mnashindana ni nani ana sura mbaya zaidi!
Zaidi unakuta mshindi anapewa pesa kibao!Mashindano mengine bwana, eti mnashindana ni nani ana sura mbaya zaidi!
Sent using Jamii Forums mobile app
swala ana akili kuliko punda wa dobi
Dobi wa mtaani kwetu bwana, mara waunguze nguo, mara wasahau kunyoosha!swala ana akili kuliko punda wa dobi
Kunyoosha pia ni njia ya kutunza nguo kwa pasiDobi wa mtaani kwetu bwana, mara waunguze nguo, mara wasahau kunyoosha!
Sent using Jamii Forums mobile app
pasi ya mkaa inanyoosha nguo vizuri kuliko pasi ya Umeme
Umeme ndio jambo muhimu kwenye uchumi wa nchi na watu kwa ujumlapasi ya mkaa inanyoosha nguo vizuri kuliko pasi ya Umeme
ujumla unajumuisha mambo mengi
Mambo mengi na pamoja na mimi kuwa mshindi wa leoujumla unajumuisha mambo mengi