captain sparrow339
JF-Expert Member
- Sep 5, 2018
- 288
- 354
Husika na mata tajea Happ juu,ndio suala la msingiJhsa ni kifupi cha Jehanamu Hakuna Salam abadani, jitahidi kuzingatia mada husika
Husika na mata tajea Happ juu,ndio suala la msingiJhsa ni kifupi cha Jehanamu Hakuna Salam abadani, jitahidi kuzingatia mada husika
suala la msingi ni wahisika wa huu uzi kufuata sheria za mchezo, vinginevyo bora mtu asijihusishe kabisaHusika na mata tajea Happ juu,ndio suala la msingi
Kabisa umenenasuala la msingi ni wahisika wa huu uzi kufuata sheria za mchezo, vinginevyo bora mtu asijihusishe kabisa
Umenena haswa kitu kinachohitajikaKabisa umenena
Kinachohitajika kwa sasa n kuwa na subiraUmenena haswa kitu kinachohitajika
subira yavuta heri
safi sana
Sana mwenyewe ameona Jua kali anasema Kwaherisafi sana
Kwaheri na kuonana sijui ni lini!Sana mwenyewe ameona Jua kali anasema Kwaheri
Lini bubu ataongea, nadhani akishasema itasaidiaKwaheri na kuonana sijui ni lini!
Pia chura hupenda maji lakini siyo ya motoItasaidia kama atatumia vitendo pia
Sent from my SM-J530F using Tapatalk
Karne ya 17 ni mwaka ganiMoto uligunduliwa karne ya 17
Sent from my SM-J530F using Tapatalk
Gani kimatamshi inaweza ikasomeka Gun
Gun kibongobongo ukiongeza 'ia' inakuwa Gunia.Gani kimatamshi inaweza ikasomeka Gun
Sent from my SM-J530F using Tapatalk
gunia ukitoa g ukaweka d inasomeka dunia
dunia ukiondoa du linabaki neno 'nia'gunia ukitoa g ukaweka d inasomeka dunia
Nia au niya ni mhimu sana kutia kabla ya kufanya jambo lolote la kheri