yellow eyes
JF-Expert Member
- Mar 6, 2018
- 2,904
- 3,353
Kheri yao waaminioNia au niya ni mhimu sana kutia kabla ya kufanya jambo lolote la kheri
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Kheri yao waaminioNia au niya ni mhimu sana kutia kabla ya kufanya jambo lolote la kheri
Sent using Jamii Forums mobile app
waaminio ni wachache sana siku hizi
zimebadilika namba tu ila mambo ni yale yale
Yale mambo ya watu wasiojulikana yaliishia wapi?zimebadilika namba tu ila mambo ni yale yale
yaliishia wapi tena yaliishia kusikojulikana
Kusikojulikana ndo kwenye picha hiyo hapo juu?yaliishia wapi tena yaliishia kusikojulikana
juu kinyume chake ni chini
Kusikojulikana huko ndo wengi walikopoteleayaliishia wapi tena yaliishia kusikojulikana
walikopotelea wengi kama wewe unaerudisha nyuma mchezo
Mchezo wa mpira wa miguu unaongoza Duniani kuwa na wapenzi wengiwalikopotelea wengi kama wewe unaerudisha nyuma mchezo
wengi wao ni wapenzi uchwara
Uchwara wa bwana mdogo ndio uliosababisha kutekana tekanawengi wao ni wapenzi uchwara
kutekana tekana sio, njoo mezani tubishane kwa hoja
hoja ni kuja na point na sio blah blahkutekana tekana sio, njoo mezani tubishane kwa hoja
blah blah ndio mtindo wa kisasa
Kisasa mambo mengi yamekuwa na majanga makubwablah blah ndio mtindo wa kisasa
makubwa kama yale ya wahutu na watutsiKisasa mambo mengi yamekuwa na majanga makubwa
Watutsi yalikuwa na afadhari kidogomakubwa kama yale ya wahutu na watutsi
kidogo cha halali ni bora kuliko kingi cha haramu.Watutsi yalikuwa na afadhari kidogo