captain sparrow339
JF-Expert Member
- Sep 5, 2018
- 288
- 352
Husika na mada elekezwa Hapo juu
Husika na mada elekezwa Hapo juu
Juu ya mlima Kilimanjaro pana thelujiHusika na mada elekezwa Hapo juu
Juu yake kulikuwa na ute nilipojaribu kuitoa pangoni maana kelele zilikuwa nyingi
Nyingi nasaba,mingi misiba.Juu yake kulikuwa na ute nilipojaribu kuitoa pangoni maana kelele zilikuwa nyingi
Misiba ya wengi ni sherehe
Sherehe kwa wapenda pombe za bureMisiba ya wengi ni sherehe
na vijana waliobeba vijiko na pilipili kwa ajili ya menuSherehe kwa wapenda pombe za bure
Bure ni ghali..ewe ukhty Faiza.Sherehe kwa wapenda pombe za bure
Dada mwenye busara kuliko wote ni Faiza, mtazamo wangu lakiniZaa upate akili dada
Sent from my iPhone using JamiiForums
mmaliziaji hutegemea na atakavyomalizaMwanzilishi si mmiliki, bali mmaliziaji!
Atakavyomaliza huweza isilete maana halisi
halisi ni kifupi cha kundi la muziki la wanaume halisiAtakavyomaliza huweza isilete maana halisi
Ukiona mmaliziaji ameshindwa kuwa mmiliki, ujue kuwa huyo hakuwa mmaliziaji, ila ALIONEKANA KAMA MMALIZIAJI!
Ukiona mmaliziaji ameshindwa kuwa mmiliki, ujue kuwa huyo hakuwa mmaliziaji, ila ALIONEKANA KAMA MMALIZIAJI!
Mmaliziaji ni nani mbona wanao unga hawazingatii ya aliyepita leo ?Ukiona mmaliziaji ameshindwa kuwa mmiliki, ujue kuwa huyo hakuwa mmaliziaji, ila ALIONEKANA KAMA MMALIZIAJI!