captain sparrow339
JF-Expert Member
- Sep 5, 2018
- 288
- 354
Machaguo yalikuwa machache Sana ya stadi za kazi ,Sanaa na sayansi kilimo
Machaguo yalikuwa machache Sana ya stadi za kazi ,Sanaa na sayansi kilimo
Sayansi kilimo ndo agriculture?Machaguo yalikuwa machache Sana ya stadi za kazi ,Sanaa na sayansi kilimo
Chini wapi au chini ya jua?Agriculture ni ufugaji wa mbuzi wa mayai
Naendelea hapo chini.
Jua na mvua bora nini?
swali lako halina jibu moja, jua lina umuhimu ambao mvua haina.. na mvua vivyo hivyo ina umuhimu ambao jua halina
Halina hekima hata kidogo jitu hiloswali lako halina jibu moja, jua lina umuhimu ambao mvua haina.. na mvua vivyo hivyo ina umuhimu ambao jua halina
Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo si suala la msingiHalina hekima hata kidogo jitu hilo
Msingi Ni ku like na ku quote afandeHilo si suala la msingi
.
kazi gani mkuu, za ndani au ofisini?
Ofisini, za ndani, za shamba na kazi zozote mradi upate kipato halalikazi gani mkuu, za ndani au ofisini?
Halali ni halali tu hata kama ni ndogo inashinda dhuruma hata ikiwa kubwa.Ofisini, za ndani, za shamba na kazi zozote mradi upate kipato halali
Sent using Jamii Forums mobile app
kubwa la maadui hufa wa mwisho ktk movieHalali ni halali tu hata kama ni ndogo inashinda dhuruma hata ikiwa kubwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Akili zako unazijua mwenyewe
mwenyewe alitangaza kujiuzulu ila baadae akataka nafasi yakeAkili zako unazijua mwenyewe
Nafasi yake kwenye uongozi nilikuwa bado n muhimu sana. Halaf ulikuwa umepotea humu kwa mda Mr fizo.