bbc
JF-Expert Member
- Jan 18, 2016
- 3,836
- 4,152
Mr fizo nafasi yake bado ipoNafasi yake kwenye uongozi nilikuwa bado n muhimu sana. Halaf ulikuwa umepotea humu kwa mda Mr fizo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Mr fizo nafasi yake bado ipoNafasi yake kwenye uongozi nilikuwa bado n muhimu sana. Halaf ulikuwa umepotea humu kwa mda Mr fizo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ushindi na kuchukua kombe kwa timu zetu za Tanzania kwa mashindano ya kimataifa ni kama hakuna!
Hakuna aijuae keshoUshindi na kuchukua kombe kwa timu zetu za Tanzania kwa mashindano ya kimataifa ni kama hakuna!
Sent using Jamii Forums mobile app
Marefu kupita majengo yote yapo marekani, ila marefu zaidi ya hayo yapo uarabuni mfano kama jengo la 'Burj Khalifa'.
Khalifa ni mshikaji mmoja tuliwahi soma woteMarefu kupita majengo yote yapo marekani, ila marefu zaidi ya hayo yapo uarabuni mfano kama jengo la 'Burj Khalifa'.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wote tunapenda kusomaKhalifa ni mshikaji mmoja tuliwahi soma wote
Nguo zangu navua faster si kama ninavyovua samaki aina ya bikini kwenye mwili wa binti maringo
Kardashian wa kawaida sana kitandaniMaringo ya dada yule kama kardashian
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kardashian wa kawaida sana kitandani
Vinazaliwa haraka sana katika maisha hayaKitandani ndipo vipaji vyote vinazaliwa
Haya Sasa Ni maradhi ya kurithiVinazaliwa haraka sana katika maisha haya
Kurithi lazima urithishwe na mwenye mali husikaHaya Sasa Ni maradhi ya kurithi