bbc
JF-Expert Member
- Jan 18, 2016
- 3,836
- 4,152
Kilimanjaro Na Moshi Ni sawa na Ruvuma na Songea.
Songea ndio linapatikana kabila la wangoniKilimanjaro Na Moshi Ni sawa na Ruvuma na Songea.
wangoni wamebahatika kupata star mmoja tuu, jina lake huyo ni Bambo
Sanamu la Michellin nani alilitengeneza
Alilitengeneza kama "nembo" ya biasharaSanamu la Michellin nani alilitengeneza
Biashara ya madawa ya kulevya inalipa haraka sana
Sana Sana utapewa asilimia ishirini na tano tuuBiashara ya madawa ya kulevya inalipa haraka sana
tano tuu ndio goli alizofungwa arsenal na LiverpoolSana Sana utapewa asilimia ishirini na tano tuu
Liverpool ya sasa tofauti na ile ya zamani
Zamani ilikua ya hovyo kwa kua ilikua inaruhusu kufungwa mabao mengiLiverpool ya sasa tofauti na ile ya zamani
mengi huyu huyu mmiliki wa IPP, ndiye mume wa k-lynZamani ilikua ya hovyo kwa kua ilikua inaruhusu kufungwa mabao mengi
Sent using Jamii Forums mobile app
K-lyn yule msanii ambae alishawahi kushirikishwa na bushoke?mengi huyu huyu mmiliki wa IPP, ndiye mume wa k-lyn
bushoke ni mwanamziki mkubwa
Maisha ujue hayana formula
formula za physics, au kuna nyingine??Maisha ujue hayana formula