captain sparrow339
JF-Expert Member
- Sep 5, 2018
- 288
- 354
Kauli mbiu ya mkulu Ni kupoza kende, na kununua chopa
Chopa kwa kiasi flan zinasaidia hasa kwa wenye pesa!!! Hahahahaaa eti kende!!!Kauli mbiu ya mkulu Ni kupoza kende, na kununua chopa
Kende zilizo jaa ndo zenye ladha nyingi sana au ?.Chopa kwa kiasi flan zinasaidia hasa kwa wenye pesa!!! Hahahahaaa eti kende!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
"Au sieleweki?" Mwalim mmoja alisikika akiwauliza wanafunzi wake.Kende zilizo jaa ndo zenye ladha nyingi sana au ?.
Wake za Mswati ni wazuri sana aiseee"Au sieleweki?" Mwalim mmoja alisikika akiwauliza wanafunzi wake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Aiseee bado jahazi letu linaenda mrama.Wake za Mswati ni wazuri sana aiseee
Mrama hatuwezi fika salama
2019 kweli wapinzani watakinukisha ama saundi zao tu?Wote kwa pamoja tuko kwny jahaz la 2019
saundi zao tu bila ata kuhonga, wanafunzi wa vyuo vikuu wanakula vitu2019 kweli wapinzani watakinukisha ama saundi zao tu?
Vitu vingine kuvijua na kuvitatua vinahitaj nguvu ya kimungu.saundi zao tu bila ata kuhonga, wanafunzi wa vyuo vikuu wanakula vitu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kimungu kama maliyamungu ama kama hawa miungu wetu wanaoleta kiwingu?
kiwingu husababishwa na nini?Kimungu kama maliyamungu ama kama hawa miungu wetu wanaoleta kiwingu?
Nini kinachozuia/kinacho chelewesha mambo kufanikiwa ?.
Kusini mwa jangwa la sahara mara nyingi ndiko kunaaminika kuwa na baa la njaa na ukame
Sent using Jamii Forums mobile app