Jocasta
JF-Expert Member
- Aug 28, 2014
- 475
- 599
Nyingine unazijua wewe
Nyingine unazijua wewe
Kimataifa ni level ya juu sana kujipima kiuchumi, heri ya mwaka mpya 2019
2019 ni mwaka mwaka mzuri wengi tunashukuru Mungu tumeuanza vizuri na tunaomba uzid kuwa mwaka wa mafanikio na baraka teleKimataifa ni level ya juu sana kujipima kiuchumi, heri ya mwaka mpya 2019
Tele times gram unapata Telegram2019 ni mwaka mwaka mzuri wengi tunashukuru Mungu tumeuanza vizuri na tunaomba uzid kuwa mwaka wa mafanikio na baraka tele
Sent using Jamii Forums mobile app
Telegram nao pia n mtandao pendwa.Tele times gram unapata Telegram
Pendwa sana kijana mwenye mali, kabwela bado nasaka tonge
tonge la wali huwa tofauti na ugaliPendwa sana kijana mwenye mali, kabwela bado nasaka tonge
Ugali ni chakula pendwa sana Songea
Songea, Lindi na mtwara wanapenda kulima koroshoUgali ni chakula pendwa sana Songea
Korosho zinazobebwa na vijana wetu pale kusini
Kusini mwa jangwa la sahara mara nyingi ndiko kunaaminika kuwa na baa la njaa na ukameKorosho zinazobebwa na vijana wetu pale kusini
Ukame wa tabia nchi si sawa na ukame wa ajiraKusini mwa jangwa la sahara mara nyingi ndiko kunaaminika kuwa na baa la njaa na ukame
Sent using Jamii Forums mobile app
Ajira ajira hasa kwa vijana wengi wanaomaliza vyuo ndio imeshakuwa kauli mbiu.Ukame wa tabia nchi si sawa na ukame wa ajira