Atkinson
JF-Expert Member
- Jan 17, 2018
- 560
- 1,444
basi gani hilo?Nyingi sana hizi comments,acheni niwe mshindi basi
basi gani hilo?Nyingi sana hizi comments,acheni niwe mshindi basi
Hilo hilo linaloongoza mjinibasi gani hilo?
mjini kuna mwendokasi au ndio unaozungumziaHilo hilo linaloongoza mjini
mjini kuna mwendokasi au ndio unaozungumzia
Kinagaumbaga, nadhani una maana kinagaunaga yaani kwa kiina!unaozungumzia ni sawa na mambo ya kinagaumbaga
Kinagaubaga ni sawa tu na kuwa makini sana na jambo flan na kazi ulitendeeunaozungumzia ni sawa na mambo ya kinagaumbaga
Steampunk ni uongo flan tu hv wa kisayansi uliotumiwa na jamii za kale huko karne ya 19.Ulitendee vyema hilo jogoo ili liwe na nyama nyingi ambayo haitakuwa na steampunk
Sent using Jamii Forums mobile app
19 ni miaka ya kutosha kuitwa raiaSteampunk ni uongo flan tu hv wa kisayansi uliotumiwa na jamii za kale huko karne ya 19.
Sent using Jamii Forums mobile app
Raia hata wa kigeni wanakubali kuwa Kilimanjaro ni mlima mrefu baran afrika kote19 ni miaka ya kutosha kuitwa raia
Afrika kote bado tuna asili na ndo dhana na msingi wetu mfumo dumeRaia hata wa kigeni wanakubali kuwa Kilimanjaro ni mlima mrefu baran afrika kote
Sent using Jamii Forums mobile app
Dume la mbegu Ni afande Jengua na SwebeAfrika kote bado tuna asili na ndo dhana na msingi wetu mfumo dume
Swebe na jengua nadhan ni waigizaji wa bongo movies hawaDume la mbegu Ni afande Jengua na Swebe
Uwepo wetu!?, nadhani Dunia ililetwa kwanza hivyo haikutegemea uwepo wetu
uwepo wetu hapa duniani una umuhimu gani?Uwepo wetu!?, nadhani Dunia ililetwa kwanza hivyo haikutegemea uwepo wetu
mwanadamu ni kiumbe haiElectronics kwa kiswahili ni mfumo wa umeme unaorahisisha maisha ya mwanadamu.