Xoldier
JF-Expert Member
- Mar 27, 2017
- 420
- 152
Maslahi yakiwa mbele kama tai kabla hujajua kazi lazima ukimbilie kwa waganga ukaseme umerogwaMzuri ila kwa tanzania hauna maslahi
Maslahi yakiwa mbele kama tai kabla hujajua kazi lazima ukimbilie kwa waganga ukaseme umerogwaMzuri ila kwa tanzania hauna maslahi
Umerogwa ni jambo sans wanalokimbilia kusema watu waaminio ktk nguvu za giza wanapopatwa na matatizoMaslahi yakiwa mbele kama tai kabla hujajua kazi lazima ukimbilie kwa waganga ukaseme umerogwa
matatizo ni wimbo wa Harmonize, au wewe unamaanisha yale yale ya kila siku?Umerogwa ni jambo sans wanalokimbilia kusema watu waaminio ktk nguvu za giza wanapopatwa na matatizo
Siku za sikukuu za kumalizia mwaka zinakaribiamatatizo ni wimbo wa Harmonize, au wewe unamaanisha yale yale ya kila siku?
Zinakaribia siku za mwisho wa mwaka na mwanzo wa mwaka ambazo ni chungu kwa wazaziSiku za sikukuu za kumalizia mwaka zinakaribia
Wazazi na walezi ndio kipindi chao cha kuongea peke yao barabaraniZinakaribia siku za mwisho wa mwaka na mwanzo wa mwaka ambazo ni chungu kwa wazazi
Wazazi na walezi ndio kipindi chao cha kuongea peke yao barabarani
hakufai kwa kua majukum ni makubwaBarabarani na hasa kipindi cha kuelekea mwanzo wa mwaka hakufai
Ni makubwa kiasi gani mzee baba?hakufai kwa kua majukum ni makubwa
baba wa mbinguni ndio tumaini la wana wa AdamNi makubwa kiasi gani mzee baba?
Adam huyu huyu alokula tunda?baba wa mbinguni ndio tumaini la wana wa Adam
Tunda la pale kati au la mtiniAdam huyu huyu alokula tunda?
Adam hakuwa na baba wala mamababa wa mbinguni ndio tumaini la wana wa Adam
mama yangu hata sura yake siijui maana alifariki nikiwa mdogo sanaAdam hakuwa na baba wala mama
mama yangu hata sura yake siijui maana alifariki nikiwa mdogo sana
kutokumjua kwake kunatokana na sababu ya msingi
kujaribu jaribu sio kuzuri, unaweza kujikuta umejaribu visivyojaribikaMsingi wa mambo yote ni kujua kama una uwezo au hauna. Nje ya hapo ni kuishi kwa kujaribu jaribu.
kujaribu ni sawa kabisa na kuparamiakujaribu jaribu sio kuzuri, unaweza kujikuta umejaribu visivyojaribika
Kuparamia wake za watu muulize Mh: mkurugenzi, kahamakujaribu ni sawa kabisa na kuparamia
Kahama haraka baada ya skendo chafu mtaani kuvujaKuparamia wake za watu muulize Mh: mkurugenzi, kahama