yellow eyes
JF-Expert Member
- Mar 6, 2018
- 2,904
- 3,353
Ushoga limeshakuwa janga LA kitaifa hvo bas inatakiwa kila mtu kwa nafasi yake alikemeeUpi msimami wa rais wa Tnzania kuhusu ushoga
Ushoga limeshakuwa janga LA kitaifa hvo bas inatakiwa kila mtu kwa nafasi yake alikemeeUpi msimami wa rais wa Tnzania kuhusu ushoga
Wake za watu wanapenda waume za watu siku hiziUnifafanulie kwanza msingi wa swali lako halafu nitakufafanulia uzuri wake
Hizi zama siyo za kula mshahara wote utalaza familia njaaWake za watu wanapenda waume za watu siku hizi
Njaa uisikie kwa wenzio ila isigonge mlangoni kwakoHizi zama siyo za kula mshahara wote utalaza familia njaa
Kwako hata kwangu pia ni familia ambazo inatakiwa tuzilinde kwa mikono miwiliNjaa uisikie kwa wenzio ila isigonge mlangoni kwako
Mikono miwili haiwezi kushika maji yamiminikayoKwako hata kwangu pia ni familia ambazo inatakiwa tuzilinde kwa mikono miwili
Yamiminikayo tena ukute yana pressure kubwa ndo inakuwa balaa tupuMikono miwili haiwezi kushika maji yamiminikayo
Balaa tupu ukutane na mkweo barYamiminikayo tena ukute yana pressure kubwa ndo inakuwa balaa tupu
Bar ivi hata kwenye siku ya sikukuu asubuhi hazifunguliwi?Balaa tupu ukutane na mkweo bar
Hazifunguliwi kabisa mkuuBar ivi hata kwenye siku ya sikukuu asubuhi hazifunguliwi?
jamii forumz inamilikiwa na nani lakin?🤔🤔mkuu ni jina maarufu humu jamii forum
lakin ndio unamaanisha walakinijamii forumz inamilikiwa na nani lakin?![]()
Mchafu wa mdomo si mchafu wa kinywaWangu mdomo ni mchafu
Rafiki wa kweli ni yule ukiwa na shidaKinywa kinaweza kukuponza rafiki